Kiongozi wa freemason tanzania

Tanzania ina wanachama hai zaidi ya wa kundi la watu wenye imani ya siri ya Freemasons wakiwa wanatokana na watu wa kada mbalimbali wakiwemo maarufu, huku ikielezwa kwamba miongoni mwao hakuna viongozi wakuu wa serikali.

Kiongozi huyo Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam mwenye asili ya Kiasia, alisema licha ya Tanzania kuwa na wanachama hao, kwa sasa idadi ya wanachama duniani inapungua tofauti na inavyoonekana sasa kuwa wanaongezeka kutokana na kuibuka maneno mengi kuhusu kundi hilo. Alisisitiza kuwa si rahisi kumjua mwanachama wa kundi hilo, bali wenyewe ndio wanaofahamiana, akisema ni siri na kwamba wenyewe wanakutana katika vikao mbalimbali mara moja kwa mwezi au zaidi.

Alisema nchini kuna wanachama zaidi ya wakiwemo wafanyabiashara, watumishi serikalini, walimu pamoja na wanataaluma mbalimbali wanaoheshimika sana na kusisitiza kuwa kuna maneno mengi yanayosemwa kuhusu kundi hilo, ambayo siyo ya kweli. Alisema idadi ya wanachama wake duniani inazidi kupungua kutoka milioni nane hadi sasa wako milioni sita, tofauti na wengi wanaodhani kuwa idadi hiyo inaongezeka. Chande alizungumza na mwandishi wa habari hizi katika Shule ya Sekondari ya Shaaban Robert ambako yeye ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule alipozungumzia maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.

Alisema duniani kuna watu wazito wengi ambao ni wanachama wa kundi hilo kama majaji wakubwa na hata Binamu wa Malkia Elizabeth wa Uingereza ni kiongozi mkubwa wa kundi hilo. Akizungumzia masharti ya kujiunga na kundi hilo, Chande alisema ni lazima mwanachama huyo awe anaamini katika Mungu bila kubagua iwapo ni Mkristo au Muislamu. Alisema pia ni lazima anayetaka kujiunga awe na umri unaozidi miaka 21 na walio chini ya umri huo hawaruhusiwi kujiunga na lazima familia ya anayetaka kujiunga na wanandugu wafahamu kuwa umejiunga na kundi hilo.

Alisema si kweli kuwa wenye fedha wengi ni wanachama wa kundi hilo huku akikanusha wanachama wanajiunga kwa ajili ya kupata fedha, bali ni dini kama imani nyingine. Alisisitiza kuwa hakuna ukweli kwamba wanaopata mafanikio katika maisha wakiwa ndani ya imani ya Freemasons kuwa wanatoa kafara watu wao wa karibu kwa lengo la kupata utajiri. Chande pia alisema hairuhusiwi kutumia jina la kundi hilo kwa nia ya kujipatia nafasi sehemu mbalimbali au kuongeza nafasi katika chuo au shule.

You are commenting using your WordPress. You are commenting using your Google account. You are commenting using your Twitter account. You are commenting using your Facebook account. Notify me of new comments via email. Notify me of new posts via email. Share this: Twitter Facebook. Like this: Like Loading Leave a Reply Cancel reply Enter your comment here Fill in your details below or click an icon to log in:.

KIONGOZI MPYAA WA MA FREEMASON kaapiswaaa leo baada ya chande

Email required Address never made public. Name required. About Home Contact.

'+relatedpoststitle+'

Add your thoughts here By continuing to use this website, you agree to their use. To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy.Sir Chande amekuwa mwanachama wa Freemason kwa takribani miongo sita tangu ajiunge na umoja huo mwaka Kulingana na taarifa hizo, kiongozi huyo alifariki dunia jijini Nairobi, Kenya alikokuwa akitibiwa. Baada ya waandishi kugonga geti hilo, ndipo alitokea mlinzi na kuwakaribisha ndani, ambako hakukuwa na ishara yoyote kuonyesha eneo hilo kuna msiba wala tukio lolote lisilokuwa la kawaida.

Ndugu huyo ambaye hakuwa tayari kuandikwa jina lake gazetini kwa madai kuwa si msemaji wa familia, alisema mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumanne jijini Dar es Salaam. Alisema kiongozi huyo anatarajiwa kuchomwa Jumanne ijayo na kwamba wanatarajia zaidi ya watu kutoka nje na ndani ya nchi watahudhuria mazishi yake. Kiongozi huyo aliwahi kueleza kuwa alijiunga na Freemason Oktoba 25 mwaka baada ya kupitia usaili.

Aliwahi kuelezea kanuni tatu kubwa za Freemason ikiwa ni pamoja na kumtaka mtu kuwa mkweli na mwenye maadili ambayo hasa Freemason inalenga kuyaweka kwenye akili ili mwanachama awe mzuri.

Tom sawyer joe lindien tribunal

Ngazi ya pili ya utaratibu inatilia mkazo kwenye vipaji na akili kupitia sanaa na sayansi ili kutoa mchango mzuri iwezekanavyo katika maisha. Ngazi ya tatu alisema kuwa unafundishwa namna ya kufurahia maisha kwa kiwango chake cha juu kwa kufuata kanuni hizo na mwisho ni upendo wa kindugu, kujiweka huru na ukweli. Hata hivyo kutokana na fikra zilizojengeka katika jamii, Freemason ilikuwa ikiogopwa na kutajwa tajwa na watu vibaya, mojawapo ikiwa ni kupata utajiri kwa njia isiyo ya kawaida.

Hata hivyo, hadi sasa dhana hiyo inaendelea na hakuna lililo wazi katika hili, huku katika mitandao ya kijamii kila mmoja akijadili jumuiya hiyo kadiri anavyoifahamu au kuisikia. Alifika Tanzania mwakaalihamia Dar es salaam na kukutana na watu wengi wa bandarini, shirika la reli na mashirika mbalimbali aliyofanyia kazi. Katika simulizi zake kadhaa, Sir Chande alisema alikutana na watu wengi ambao walikuwa wanahudhuria vikao vya Freemason, akaanza kuulizia na akajifunza mambo kadhaa kuhusu watu hao.

Wakati huo, hao watu hawakuwa huru kuzungumzia Freemason kama alivyofanya Sir Chande, hasa kabla ya vita ya pili ya dunia.

kiongozi wa freemason tanzania

Sir Chande alisema wakati huo Freemason ilikuwa imegawanywa makundi tofauti, katika hospitali, shule, na mashirika mbalimbali na kulikuwa na kundi maalumu kwa ajili ya matajiri na wafanyakazi wakubwa wa Serikali. Ukiangalia vizuri wengi wao walikuwa ni wazungu na baadhi ya Wahindi. Kundi la kwanza lilikuwa linaongozwa na watu wa Scotland, makundi mawili yaliyofuata yalikuwa yanaongozwa na Waingereza na kundi la nne lilikuwa linaongozwa na Wahindi ambalo ndilo Chande alilojiunga nalo.

Ilimchukua miaka miwili kukubaliwa kujiunga na Freemason. Aliapishwa rasmi mwaka akiwa na umri wa miaka Kumbuka kwamba masharti ya kujiunga ni lazima uwe na umri kuanzia miaka Baada ya hapo ndipo alipanda cheo na kupewa nafasi ya kuongoza kundi au tawi la Freemason katika nchi za Afrika Mashariki ambazo ni Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda na Burundi.

Akajiunga na miradi tofauti ya Freemason nchini Uingereza yakiwemo hoteli za kifahari pamoja na kupewa jukumu la kujenga hoteli mpya ya Freemason nchini Ghana kwenye Mji wa Khumasi ambayo ni ya kifahari. Sir Chande anakumbukwa sana kwa kuanzisha shule ya msingi ya Viziwi Buguruni, Dar es Salaam, moja ya taasisi ambazo alizipa kipaumbele mno hadi anaingia kaburini.

Sir Andy Chande alistaafu kama kiongozi wa Freemason Afrika Mashariki mwaka baada ya kuifanyia kazi kwa miaka 19, akawa hahudhurii mikutano ya nchi hizi, lakini akishiriki ile ya Uingereza kwa sababu alikuwa akiendelea kufanya kazi na mashirika ya huko. Pamoja na kwamba shirika hili katika muundo wake wa sasa lilianzishwa mjini London, Uingereza mwakalakini historia yake inaelezwa kurudi nyuma katika karne ya Friday, April 7, Sir Andy amekuwa mwanachama wa Freemasons kwa takribani miongo 6 tangu ajiunge.

Tumeona matangazo yakialika watu kujiunga nao kama wanataka kupata utajiri na kuwa watu wenye nguvu. Lakini bado Freemason, imebaki kuwa kitendawili miongoni mwa Watanzania wengi. Leo tunakuletea habari kuhusu Mtanzania maarufu aliyefungua kinywa na kueleza namna alivyojiunga na Freemasons, kundi lililo kongwe duniani. Tayari watu mbalimbali watu wenye hamu ya kupata utajiri wamekuwa wakitoa ushuhuda kuhusu kundi hilo na kusikika kwenye vyombo vya habari, hasa baada ya kifo cha mwingizaji nyota, Stephen Kanumba, mwaka Hata hivyo Jayantilal Keshavji Chande, maarufu zaidi nchini kwa jina Sir Andy Chande, aliyejiunga na Freemason Oktoba 25, baada ya kupita kwenye usaili mzito, anaeleza namna alivyoibuka kutoka familia ya kawaida hadi kuwa kiongozi wa Freemason Afrika Mashariki.

Sir Andy Chande, ambaye amekuwa mwanachama wa kundi hili kwa karibu miongo sita sasa, anaeleza namna alivyosajiliwa na kufikia hatua ya juu ndani ya kundi hilo. Chande alizaliwa Mombasa Kenya, Mei 7,ingawa wazazi wake walikuwa wakiishi Bukene mjini, mkoani Tabora, magharibi mwa Tanzania.

Imani ya kimaadili na thamani ya kundi hilo ilianza wakati wa mazungumzo yake na Messrs Campbell Ritchie na McLean mwanzoni mwa miaka ya Ni sayansi ya maisha ambayo malengo yake ni kumbadilisha mtu kiimani na kumfanya awe anavyopaswa kuwa.

Anasema kuwa malengo ya Freemason yamefunikwa na mafumbo, ambayo pengine ndiyo yanayoeleza utamaduni uliojificha katika utendaji kazi wake. Chande anabainisha kuwa kanuni kubwa tatu za Freemason ziliandikwa kwenye kitabu kimoja nchini Canada, kilichochapishwa na Kampuni ya Penumbra Press. Ngazi ya pili ya utaratibu inatilia mkazo kwenye vipaji na akili kupitia sanaa na sayansi, ili kutoa mchango mzuri iwezekanavyo kwenye maisha.

Losses naturally arising from breach means

Anafafanua kuwa ngazi ya tatu inampa mtu nafasi ya kutafakari uwepo wake kwa kina na kwamba kanuni zote tatu zinafahamika kama upendo wa kindugu, kujiweka huru na ukweli. Anaongeza kuwa, wakati kanuni hizo tatu zinapoondolewa kwenye alama ya sanaa inayofunika imani ya Freemason, ambazo zilimpa udadisi wa kupata taarifa kuhusu utaratibu huo wa kale.

Kanuni za Freemason zinafundisha nini?

BOSI WA FREEMASON TANZANIA AFARIKI DUNIA

Katika ratiba ya Freemason, anaandika Chande akieleza kuwa, kanuni ya upendo wa kindugu inawafundisha ndugu wote kuwachukulia wanadamu wote kama familia moja iliyoumbwa na nafsi moja kuu.

Anafafanua kuwa ngazi ya tatu ambayo ni ukweli na pengine ndiyo muhimu zaidi ni mchango wa kimungu kwa mwanachama wa Freemason.

Raspados near me chula vista ca

Anabainisha kuwa kipindi hicho ndicho kinachoheshimika kama njia ya matazamio na marekebisho na kama inawezekana, kurudiwa kwa kanuni hizo kama msingi wa kuelekea kanuni kuu nne alizozitaja kuwa ni; udhibiti binafsi, nguvu, umakini na haki. Chande anaeleza kuwa Freemason siyo kifaa cha dini, pia siyo mpinzani wa dini, lakini inakaribisha watu wote bila kujali dini zao na haijaribu kubadilisha imani zao au kushawishi kuabudu kwao.

Sir Andy Chande akiwa na watu mashuhuri enzi za uhai wake. Akiwa na Diamond Platnumz.Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2 gmail. List za Viongozi wa Tanzania waliojiunga Freemason. Post a Comment. Global Publishers. Voice of America. CCM Blog. Watumishi mahakama kuu Tabora kusaidia yatima 15 hours ago. KIIZA 4 days ago. Kisa Simba, Yanga yamsimamisha mwanasheria wao 2 months ago. Magufuli awatuliza wabunge nafasi za uwaziri 2 months ago.

Chadema Blog. Masama Blog. Wazalendo 25 Blog. USD 0 3 years ago. Blogu ya Wananchi. Mbeya Yetu. Raia Mwema Gazeti la Tanzania lenye habari na makala mbalimbali. HabariLeo Gwiji la Habari Tanzania.

Mwanzo - BBC Swahili. Show 5 Show All. Popular Posts. Kadri siku zinavyozidi kwenda vinaibuka vyanzo kibao vinavyosababisha kushamiri kwa ngono za wazi mbele ya maelfu ya wananchini wa T Hizi hapa Staili mbalimbali za Mapenzi.

Nimepita Sehemu fulani, nimeona kuna mzozo eti ni ipi staili nzuri saa ya kufanya mapenzi, kweli hili suala lina mitazamo mingi. Shukuru Kawambwa leo ametangaza matokeo ya Mtihani wa Darasa la Saba uliofanyika Wema Sepetu is showing off a new bald look.Japo kwa upande wa Marekani wapo wanaokiri kufanya hivyo kweli, ila kwa Africa Mashariki hakuna msanii aliyewahi kukiri.

Lakini yote hayo ni kama yanakanganya na kuonekana kama hayana mantiki hasa pale ambapo vithibitisho vya kinachoongelewa huwa havileti mantiki ya moja kwa moja. Pengine watu wanatafuta pesa kwa bidii na kumuomba Mungu lakini kwa kuwa kwenye mstari wa juu wanajikuta wanahisiwa kuwa member wa secret society Freemason.

Tunathubutu kuziita blaa blaa kwa upande mwingine, lakini tukiweka kwenye mabano kuwa inaweza kuwa na ukweli, who knows! Mtandao wa malimwengu wa nchini Kenya huenda ukawa na mfano mzuri wa kile nilichokitaja hapo juu, mtandao huo kupitia mwandishi wake imetaja majina ya wasanii wa Tanzania na Kenya wanaosemekana kuwa ni wafuasi wa Freemason, lakini kizuri zaidi ni kwamba mtandao huo umejaribu kuonesha vithibitisho na kushindwa kupata jibu la moja kwa moja kwa nini wasanii hawa wamekumbwa na hili.

Inabaki hivyo hivyo kuwa tetesi tu.

7-point grading scale gpa

Picha aliyopiga mwaka jana akiwa na mzungu anaeaminika kuwa ni moja kati ya viongozi wa Freemason wakiwa wameweka pozi na kuonesha ishara inayooaminika kuwa ni ya Freemason, na kwamba alipoulizwa yeye alisema hakufahamu kama alikuwa anaelekezwa kupiga picha kwa pozi la ki-freemason. Kwa mujibu wa mwandishi anaona inaweza kuwa kweli kwa sababu anaonekana kuenjoy!

Iliwahi kusemekana pia kuwa Ali Kiba ni Freemason, na wewe pia unaweza kufikiria sababu kwamba eti alikuwa maarufu sana na baadae kufifia. Ni muigizaji maarufu wa kike mtanzania. Maoni ya mwandishi Hakuna ushaidi, tetesi peke yake hazina umuhimu.

Maoni ya mwandishi Hapana, sio kweli.

kiongozi wa freemason tanzania

Sababu ya kufanikiwa kwenye muziki haimaanishi kuwa ni members wa Freemason. Hakuna mtu mwenye ushahidi kuwa Camp Mulla ni members wa Freemason. Maelezo yanayomhusu yanaonekana kuwa mengi sana kama kawaida, ni moja kati ya wasanii ambao tetesi za kuwa illuminate ni nyingi zaidi. Ukimtaja Nonini kama Illuminati lazima kitu serious zaidi kiandikwe ama ikielezwe. Nonini sio Illuminati maoni ya mwandishi. Hao ndio waliandikwa na kutolewa maoni ama maelezo na muandishi wa mtandao huo.

Haya yote yanasemwa tu, cha kufanya ni kile alichokisema Prof. Tuache majungu sio kila mtanzania anaepata mafanikio ana kuwa ni mwanachama wa freemasons tutambue kuwa watu wametfta. Sio kila mutu ambaye amefanyikiwa kimaisha ni freemason tu,kunawengine wana kipaji kutoka kwa Mungu mwenyewe.

Naseeb Abdul Jumaa Diamond Platinum Picha aliyopiga mwaka jana akiwa na mzungu anaeaminika kuwa ni moja kati ya viongozi wa Freemason wakiwa wameweka pozi na kuonesha ishara inayooaminika kuwa ni ya Freemason, na kwamba alipoulizwa yeye alisema hakufahamu kama alikuwa anaelekezwa kupiga picha kwa pozi la ki-freemason. Ali Kiba Iliwahi kusemekana pia kuwa Ali Kiba ni Freemason, na wewe pia unaweza kufikiria sababu kwamba eti alikuwa maarufu sana na baadae kufifia.

Jacquelin Wolper Ni muigizaji maarufu wa kike mtanzania. Camp Mulla Maoni ya mwandishi Hapana, sio kweli. Octopizzo Maelezo yanayomhusu yanaonekana kuwa mengi sana kama kawaida, ni moja kati ya wasanii ambao tetesi za kuwa illuminate ni nyingi zaidi. Nonini Ukimtaja Nonini kama Illuminati lazima kitu serious zaidi kiandikwe ama ikielezwe. Natafuta dem. Sorry, your blog cannot share posts by email.Post a Comment. News Loading Sir Andy amekuwa mwanachama wa Freemasons kwa takribani miongo 6 tangu ajiunge.

Tumeona matangazo yakialika watu kujiunga nao kama wanataka kupata utajiri na kuwa watu wenye nguvu. Lakini bado Freemason, imebaki kuwa kitendawili miongoni mwa Watanzania wengi. Leo tunakuletea habari kuhusu Mtanzania maarufu aliyefungua kinywa na kueleza namna alivyojiunga na Freemasons, kundi lililo kongwe duniani. Tayari watu mbalimbali watu wenye hamu ya kupata utajiri wamekuwa wakitoa ushuhuda kuhusu kundi hilo na kusikika kwenye vyombo vya habari, hasa baada ya kifo cha mwingizaji nyota, Stephen Kanumba, mwaka Hata hivyo Jayantilal Keshavji Chande, maarufu zaidi nchini kwa jina Sir Andy Chande, aliyejiunga na Freemason Oktoba 25, baada ya kupita kwenye usaili mzito, anaeleza namna alivyoibuka kutoka familia ya kawaida hadi kuwa kiongozi wa Freemason Afrika Mashariki.

Sir Andy Chande, ambaye amekuwa mwanachama wa kundi hili kwa karibu miongo sita sasa, anaeleza namna alivyosajiliwa na kufikia hatua ya juu ndani ya kundi hilo.

Chande alizaliwa Mombasa Kenya, Mei 7,ingawa wazazi wake walikuwa wakiishi Bukene mjini, mkoani Tabora, magharibi mwa Tanzania. Imani ya kimaadili na thamani ya kundi hilo ilianza wakati wa mazungumzo yake na Messrs Campbell Ritchie na McLean mwanzoni mwa miaka ya Ni sayansi ya maisha ambayo malengo yake ni kumbadilisha mtu kiimani na kumfanya awe anavyopaswa kuwa.

Laparoscopia de vesicula video

Anasema kuwa malengo ya Freemason yamefunikwa na mafumbo, ambayo pengine ndiyo yanayoeleza utamaduni uliojificha katika utendaji kazi wake.

Chande anabainisha kuwa kanuni kubwa tatu za Freemason ziliandikwa kwenye kitabu kimoja nchini Canada, kilichochapishwa na Kampuni ya Penumbra Press. Ngazi ya pili ya utaratibu inatilia mkazo kwenye vipaji na akili kupitia sanaa na sayansi, ili kutoa mchango mzuri iwezekanavyo kwenye maisha.

Anafafanua kuwa ngazi ya tatu inampa mtu nafasi ya kutafakari uwepo wake kwa kina na kwamba kanuni zote tatu zinafahamika kama upendo wa kindugu, kujiweka huru na ukweli. Anaongeza kuwa, wakati kanuni hizo tatu zinapoondolewa kwenye alama ya sanaa inayofunika imani ya Freemason, ambazo zilimpa udadisi wa kupata taarifa kuhusu utaratibu huo wa kale.

Kanuni za Freemason zinafundisha nini? Katika ratiba ya Freemason, anaandika Chande akieleza kuwa, kanuni ya upendo wa kindugu inawafundisha ndugu wote kuwachukulia wanadamu wote kama familia moja iliyoumbwa na nafsi moja kuu. Anafafanua kuwa ngazi ya tatu ambayo ni ukweli na pengine ndiyo muhimu zaidi ni mchango wa kimungu kwa mwanachama wa Freemason.

Anabainisha kuwa kipindi hicho ndicho kinachoheshimika kama njia ya matazamio na marekebisho na kama inawezekana, kurudiwa kwa kanuni hizo kama msingi wa kuelekea kanuni kuu nne alizozitaja kuwa ni; udhibiti binafsi, nguvu, umakini na haki. Chande anaeleza kuwa Freemason siyo kifaa cha dini, pia siyo mpinzani wa dini, lakini inakaribisha watu wote bila kujali dini zao na haijaribu kubadilisha imani zao au kushawishi kuabudu kwao.

kiongozi wa freemason tanzania

Sir Andy Chande akiwa na watu mashuhuri enzi za uhai wake. Akiwa na Diamond Platnumz. Akiwa na JM Kikwete. Akiwa na BW Mkapa. Akiwa na A. Akiwa na JK Nyerere.

Alfred wegener plate tectonics song

Akiwa na Wanajumuiya wenzake wa Freemasonry. Pin it. About habari24 blog. Newer Post Older Post Home. Subscribe to: Post Comments Atom. Powered by Blogger.Use different types of questions: Open answer, closed-answer buttons, sort options, multi-answer, dropdown, auto-complete lists, and rating options. Complement them with photos and videos.

Reward the users who predict the results of the competition correctly by entering them in a final sweepstakes. Use the winner-selection tool to carry out the sweepstakes and obtain a certificate of validity. Create a contest for each day and present them on the same page. Activate global ranking to boost competitiveness among users. Viralize the contest by giving more chances of winning to those users who recruit the most friends. Reward participation in the betting pool by giving users a coupon or promotional code which they can redeem in your store or establishment.

Register now and access the control panel from where you can create and configure a complete predictions poll, see all the options and preview exactly how it will look upon publication. If you continue to browse we will consider you to have accepted their use. You can change the set up or obtain more information here. Table of contents Main features Complete features Combine it with Versions and pricing Technical tutorial The predictions app lets you challenge your fans to predict, guess and make their bets about the results of a future event.

Predictions Combine it with. Promotions group Create a contest for each day and present them on the same page. Sweepstakes Carry out a sweepstakes among all the users who correctly predict the result of the competition. Recruiters Viralize the contest by giving more chances of winning to those users who recruit the most friends. Coupons Reward participation in the betting pool by giving users a coupon or promotional code which they can redeem in your store or establishment.

Access to the Premium Design Template, with more customization options. Platform to automate the sending of emails. Full customization of the entry form. Third-party integrations (Twitter, Instagram, MailChimp, GoogleAnalytics). No reference to the Easypromos brand when sharing the promotion.

ALIYEKUWA KIONGOZI WA FREEMASONS TANZANIA AFARIKI DUNIA

You can create a single promotion in multiple languages. You can use your own domain. Developers: Use your own CSS styles, HTML and Javascript code. Developers: Access to the API and Webhooks for real-time exporting of entries. Recommended for large brands and agencies who want their own promotions platform. Try an online demo of a Prediction poll promotion Try demo Resources and help Technical tutorial If you have questions about predictions, you'll find this tutorial very useful.

kiongozi wa freemason tanzania

See FAQ Additional information Learn how to assign points to participants based on their predictions in the betting pool. More information What more do you need to know to use Easypromos. View prices Register and start now We use our own and third-party cookies to improve our services and only show you advertising that has been suggested by your preferences after analyzing your browsing habits. The best betting system throughout the years proved to be the system where you double your stake every day.

We never suggest to keep doubling your winnings. Our services Every day we make sure to find a couple of safest matches to double our stake.


thoughts on “Kiongozi wa freemason tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *